
Dakika 10 Za Kocha
#DZK074; Hivi Ndivyo Kudhania Kunavyokukwamisha Wewe Kupata Mafanikio Makubwa.
Kudhania Kunakukwamisha Kufanikiwa. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Ni mara ngapi umekuwa unajua unachotaka, Ukajua kabisa unachopaswa kufanya ili kukipata, Na bado hufanyi? Kinachokukwamisha? Kudhania. Kuna mambo hufanyi, kwa kudhania matokeo yatakuja tu. Unaamini wengine kwa kudhania wapo sahihi. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi kudhania kumekukwamisha kupata mafanikio makubwa. Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Usidhanie chochote, thibitisha mwenyewe na fanya kila kitu ili kupata matokeo. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .






